Wale tuliopitia NACTE

Wale tuliopitia NACTE

jamzai

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
67
Reaction score
55
Wakuu angalieni profile zenu nyingi zimerudi kama awali( hakuna tena provisional selection). Hii inaashiria nin mbona hawa NACTE wanaweweseka hivi.
 
Hata mimi pia imerudi kama awali, jina tayari lipo Chuoni tena Batch zote 2 majina yametokea. USIJALI.
 
Wakuu angalieni profile zenu nyingi zimerudi kama awali( hakuna tena provisional selection). Hii inaashiria nin mbona hawa NACTE wanaweweseka hivi.

Plz wait ww mbona unapressure ulishaambiwa kuanzia next week kilakitu kitakuwa wazi xo ww umeng'ang'ana na profile tu je ulitaka iweje??? hakuna atakae kosa chuo.
 
Acheni kuwalalamikia nacte nao ni watu na wanamajukumu mengi xo cha msingi ni kuwa na subira wadau msisumbuke na mabadiliko ya profile yako ukiona mabadlko kwa profile yako ujue nacte wanafanyia kazi.
xo cha msingi ni kujpanga ADA .
 
Wakuu angalieni profile zenu nyingi zimerudi kama awali( hakuna tena provisional selection). Hii inaashiria nin mbona hawa NACTE wanaweweseka hivi.

nilikuwa selected na nika be confirmed lakin profile imerudi kama mwanzo. nacte hawa.
 
Back
Top Bottom