Wale tuliohitimu community health tukutane hapa

sharmty

Member
Joined
Mar 13, 2018
Posts
22
Reaction score
4
Nia ni kupeana ushauri na updates za koz hii kwani tumekuwa kma watt yatima tusokuwa na mber wala nyuma yaan mpka sasa najiuriza juu ya Chws sipat majib labda kuna anaefahamu juu ya koz hii job description
 
Sasa wewe si ndio umesoma hii kozi ndio unajua vizuri ni vitu gani unaweza kuvifanya baada ya kusoma

Halafu andika vizuri mkuu
 
Yaan tulivyo soma wanakataza kuvifanya baadh yake mfani tulisoma vaccination lakin hawaturuhux ma nec tu practices
 
Palee TCU wanapokuchagulia koz afuu unasoma hujui unaenda kufanya kazi gani......... Koz kama izii za mwendo kasii sijui wanamaanisha nin.. Duuuu
 
Yaan tulivyo soma wanakataza kuvifanya baadh yake mfani tulisoma vaccination lakin hawaturuhux ma nec tu practices
Kwa uandishi huu kweli bora wawakataze tu,kama umesoma course hadi umemaliza hujui kazi zinazofanyika unategemea nini
 
Mkuu, ilikuwaje mpaka ukaenda kusoma kozi madafu kama hyo... Haya ndo matatizo ya kukimbilia vyuo vya afya kwa kuona kila kozi ni dili..
 
Nia ni kupeana ushauri na updates za koz hii kwani tumekuwa kma watt yatima tusokuwa na mber wala nyuma yaan mpka sasa najiuriza juu ya Chws sipat majib labda kuna anaefahamu juu ya koz hii job description
MIMI BINAFSI NAIPENDA SANA KOZI YA COMMUNITY HEALTH, HASA UKIWA ANGALAU NA DIPLOMA AU DEGREE YA HII KOZI UTAPETA SANA, KWA USHAURI WANGU MNGEENDELEZA NA DIPLOMA YA COMMUNITY HEALTH, ALAFU MKIMALZA MTAKUJA KUNISIMULIA,
DIPLOMA YAKE IPO, KENYA, UGANDA NA ZAMBIA, NI MIAKA MIWILI TU, (JARIBUNI KUTAFTA MTANDAONI VYUO VYENYE HII KOZI). KWENYE HIZO NCHI
 
Mbn unaharaka hivo kweny uandishii wako?sijakwelewa bado
 
Acheni kuwa katisha watoto tamaa, tatizo la ajira lipo kwenye kozi zote. Hakuna kozi yenye unafuu kwa sasa.
Acha kuweweseka mkuu!.
Kozi za maji now ndiyo mpango mzima!.
Ajira za kumwaga miradi mingi ipo!.
Wataalamu wachache Sanaa!.
Nenda wizarani au mamlaka za maji utaona jinsi wataalamu wa maji walivyokuwa wachache!.
Na hata vyuo vya maji sidhani kama vinafika 3 hapa Tanzania!.

Wanajukwaa kama una ndugu yako anamaliza form 6!. Ushaur MPELEKE akasome mambo ya maji
Hususani kuna kozi ya Hydrology naona Tanzania hakuna!.
 
MIMI BINAFSI NAIPENDA SANA KOZI YA COMMUNITY HEALTH, HASA UKIWA ANGALAU NA DIPLOMA AU DEGREE YA HII KOZI UTAPETA SANA, KWA USHAURI WANGU MNGEENDELEZA NA DIPLOMA YA COMMUNITY HEALTH, ALAFU MKIMALZA MTAKUJA KUNISIMULIA,
DIPLOMA YAKE IPO, KENYA, UGANDA NA ZAMBIA, NI MIAKA MIWILI TU, (JARIBUNI KUTAFTA MTANDAONI VYUO VYENYE HII KOZI). KWENYE HIZO NCHI
Accommodation ndugu yangu sidhani kama naeza afford
 
Back
Top Bottom