Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jul 10, 2015 #1 watu wamejitoa ufahamu sana Attachments 1436543175982.jpg 27.5 KB · Views: 929
mdetichia JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 5,292 Reaction score 2,172 Jul 10, 2015 #2 Ndio baaasi tena
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jul 10, 2015 Thread starter #3 mdetichia said: Ndio baaasi tena Click to expand... bado hajakatwa tu
mdetichia JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 5,292 Reaction score 2,172 Jul 10, 2015 #4 Th Name said: bado hajakatwa tu Click to expand... Hawawezi kumkata huyu ni kisiki cha mpingo wakikimbia nchale wakisimama nkuki mwaka huu na lowasa wao mbona watambeba?
Th Name said: bado hajakatwa tu Click to expand... Hawawezi kumkata huyu ni kisiki cha mpingo wakikimbia nchale wakisimama nkuki mwaka huu na lowasa wao mbona watambeba?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jul 11, 2015 Thread starter #5 mdetichia said: Hawawezi kumkata huyu ni kisiki cha mpingo wakikimbia nchale wakisimama nkuki mwaka huu na lowasa wao mbona watambeba? Click to expand... kwahiyo unataka kuniambia lowassa atapeta au
mdetichia said: Hawawezi kumkata huyu ni kisiki cha mpingo wakikimbia nchale wakisimama nkuki mwaka huu na lowasa wao mbona watambeba? Click to expand... kwahiyo unataka kuniambia lowassa atapeta au
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,847 Reaction score 34,303 Jul 11, 2015 #6 Hahahaaaaa na waombe Mungu October wapite
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jul 11, 2015 Thread starter #7 cute b said: Hahahaaaaa na waombe Mungu October wapite Click to expand... ameshakatwa sasa. ccm kazi wanayo mwaka huu. hahahaha
cute b said: Hahahaaaaa na waombe Mungu October wapite Click to expand... ameshakatwa sasa. ccm kazi wanayo mwaka huu. hahahaha