Wale mliokumbana na matusi kwa wadada mliojalibu kuwatongoza tukutane hapa

matusi ktk harakati za kuomba kibali cha uwekezaji ni jambo la kawaida sana..
na haikupasi kukata tamaa kama mtoto wa kiume hata kama ukitukanwa matusi mapya ambayo hata Ibilisi hayajui!
 
Nimemkumbuka yule mkaka alopataga ajali na yule kaka wa Igo. Ulivyimwambia sikutaki
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom