Wale mliokumbana na matusi kwa wadada mliojalibu kuwatongoza tukutane hapa

unamtusi mtu kwasababu kasema neno nakupenda, nyie wasichana mbadilike haya maisha tu, na ukienda kwa huyo sharo wako akikutia mimba akikuacha ndio unajutia na kuona wanaume wabaya kumbe mbaya wewe mwenyewe.
 
Mi nilijibiwa hivyo lakini ninaye mpaka leo, ni mke wangu. Kazi niliyobaki nayo ni ya kumwambia aache kuniomba msamaha maana neno aliloniambia mimi linamuuma yeye aliyelisema kuliko mimi niliyeambiwa. Namwambia yalishapita hayo ilikuwa ni zamani sana, lakini bado tu akikumbuka huomba msamaha!

Neno gani mkuu?
 
Mbali na matusi alinambia we masikin unaweza kua na mimi? Dah niliumia sana sema kwa sasa ananigongea buku ya vocha, malipo ni hapa hapa duniani
 
Mi nilijibiwa hivyo lakini ninaye mpaka leo, ni mke wangu. Kazi niliyobaki nayo ni ya kumwambia aache kuniomba msamaha maana neno aliloniambia mimi linamuuma yeye aliyelisema kuliko mimi niliyeambiwa. Namwambia yalishapita hayo ilikuwa ni zamani sana, lakini bado tu akikumbuka huomba msamaha!
Duuuh ukikumbuka tu mle xn uroda mzee ndo kilichobakia
 
Kuna dada mmoja nlimtongozaga fb, akanitukana weeeeeee akanambia "im you sister that wont change" hiyo kauli naikumbukaga sana huku na kule akakubali tuonane tulipoonana anaaibu mpaka kuongea hawezi na ni mtu mzima above 28s basi nikajipigia kiulaaaaiiiinii matusi unaoambana nayo tuu ni maneno tuu sio misumari kwamba itakutoboa

Hongera sana.
 
Nilikuwa hadi nampigia magoti namuomba tumbua lake nalia hadi machozi, hata ingekuwa ni ww ungenionea huruma Hajar- alipojaa mzima mzima ( eti ooh umelia sana ngoja nikuonee tu huruma) nikajisemea yaani weeeweee nitahakikisha ute ute wooote unakauka hakiyanani
Mbavu zangu jamani
 
Alinitukana nikawa mpoooleeeee kama nimemwagiwa maji ya barafu vile, ila nikawa namuomba anipe papa lake nambembekeza hadi napiga goti na chozi nalia kbs( nachotaka nakijua hapo) , ilipokuja kumwingia huruma akatoa papa baana baaaana baana! Alikuwa anaweka kaseti za dini huku kyupi kakitundika paleee katanua miguu yake chanuuuu anapakuliwa kisawasawa, hadi sasa hana ujanja na anaendelea na ulokole wake akizidiwa analileta nalikung' uta haswa!

Sasa anademand mtoto maana umri umemwenda sana na bado hajaolewa
Wanaume wabaya jamani, duh!
 
Nishawahi kukutana na zile za kuambiwa i love you as a friend..damnit.! Aisee inauma kisela.
Mwingine alinambia ujue nakuchukulia kama kaka angu wewe Gru. Friendzoned na brotherzoned zinauma kuliko hayo matusi.
Utabaki kuitwa fun guy
 
nilitukanwa na nilidhihakiwa lakini mwaka mmoja baadae nilirudi tena,na kupewa papuchi......
nilipohuliza nini kimembadirisha..?.. hakuna jibu la maana...
nilichapa lapa baaba ya kupuzua...maana hakuwa na jipya..
 
Poleni sana...

Utamulizaje kama hiyo bikra ametolewa na Yesu?

Si wote wanaoweza utani au kutazama mambo kwa njia ya utani...


Cc: mahondaw
 
Me nilimtongoza mmama mmoja hivi kipindi nipo form one ndiyo naanza kujifunza kunyakua mademu duuuuh... Hiyo mitusi sasa siyo poa halafu kwenye umati wa watu...
 
Utabaki kuitwa fun guy
Kam ulikuwepo vile kiongozi yaani napambwa jaman Gru where would i be without u!!?
We make a very good friendship. Asikwambie mtu hii inauma kinoma halafu mbayw zaidi anaanza kukwambia mamb ya bwana wake
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom