juzi nikajiuliza swali kama hilo nilipomkuta jamaa wawili wakifunga mnara wa hii kampuni mpya vietel zaidi ya mita 100 juu, nikawahurumia sana maana pale chochote chaweza kutokea.mimi kutazama juu niliona kizunguzungu sasa wao wakiwa juu mbona wataona kihindihindi tehe
...nilipomkuta jamaa wawili wakifunga ...
+Me nataka kujua tu huwa wanasomea course gani mpaka wanakua wataalam wa minara ya mawasiliano.
Hadi ukiona mnara umekamirika na kuanza kufanya kazi, ( Civil Eng, Elec Eng, Tellecom, IT, Mech Eng ujue wamehusika hapo katika kuusimamisha hadi kufanya kazi )
...Ahsante Mkuu Ila Nina Swali La Nyongeza Hivi Mnara Mmoja Kuusimika Hadi Uanze Kazi Unaweza Kucost How Much Money?Pia Naomba Kujua Aina Za Minara Ya Simu Kama Zipo Aina Tofauti tofauti, ahsante
...mkuu Sorry nimeku Quote Kimakosa Siku Kukusudia Wewe!
#Ethical Ninja CEH,Mkuu ahsante kwamajibu mazuri ila naomba pia kujua kuna aina ngapi za minara ya simu? kama zipo,pia kusimika mnara mmoja hadi uanze kutumika(kazi) inagharimu how much money?ahsante.
+ok mkuu nadhani wataalam watakua wameliona swali lako watajibu maana mimi mwenyewe sina utaalam wa hayo mambo so naungana na wewe kusubiri majibu.
wanasoma electronics and telecomunication, computer enginering au wangine wanasomaga course za ciscco tu.................kwa DIT kuna mtabe wao anaitwa mr.ngomuo+ok mkuu nadhani wataalam watakua wameliona swali lako watajibu maana mimi mwenyewe sina utaalam wa hayo mambo so naungana na wewe kusubiri majibu.
wanasoma electronics and telecomunication, computer enginering au wangine wanasomaga course za ciscco tu.................kwa DIT kuna mtabe wao anaitwa mr.ngomuo