Bei ya hizo HDD mfano kuanzia 500gb hadi 1Tb ni around pesa ngapi mkuu. Na bei ya Ram 4gb-16gb ni kiasi gani..Si kweli mkuu, unaweza ukawa na GB unazotaka na ram unayotaka.
Mfano NAS servers unaweza kuta Ina 16TB (GB Kama 16,000) na ram 512MB ama 1GB.
Operating system na matumizi ndio vinaamua ram na sio hard disk.
Mkuu kwa ram 4GB Ni around 30,000 mkononi Hadi 40,000 dukani, sema Ni ddr3 ambazo zinapatikana kwa wingi Ila ddr4 zenye uhaba Bei inazidi. Kwa hizo ram kubwa mfano single slot ya 16GB Ni Ngumu Sana kuzipata na Bei zinakuwa ndefu kutokana na uchache wake. Ila Kama una laptop ama desktop zinakuwa na slot zaidi ya moja. laptop yenye slot 2 unaweza ukanunua 4GB Mara 2 na kuwa na GB 8 ram, na desktop yenye slot 4 unanunua 4GB Mara 4 na unakuwa na 16GB ram.Bei ya hizo HDD mfano kuanzia 500gb hadi 1Tb ni around pesa ngapi mkuu. Na bei ya Ram 4gb-16gb ni kiasi gani..
siku hizi mpaka 15,000 unapata zipo nyingi madukani mkuuWakuu nina hdd ya laptop nataka nifanye iwe external hivyo ninahitaji Hard Drive Enclosure na bei zake zikoje?View attachment 1151315
Kaka niaje, hv screen ya dell aspiron inch 15.6 naeza pata kwa sh ngapMkuu kwa ram 4GB Ni around 30,000 mkononi Hadi 40,000 dukani, sema Ni ddr3 ambazo zinapatikana kwa wingi Ila ddr4 zenye uhaba Bei inazidi. Kwa hizo ram kubwa mfano single slot ya 16GB Ni Ngumu Sana kuzipata na Bei zinakuwa ndefu kutokana na uchache wake. Ila Kama una laptop ama desktop zinakuwa na slot zaidi ya moja. laptop yenye slot 2 unaweza ukanunua 4GB Mara 2 na kuwa na GB 8 ram, na desktop yenye slot 4 unanunua 4GB Mara 4 na unakuwa na 16GB ram.
Kuhusu HDD mkononi 500GB zinarange kwenye 60,000 Hivi inaweza zidi Hadi 80,000 na 1TB Ni around laki 1 inaweza shuka kidogo ama kupanda kidogo, kwa mpya tegemea brand na speed zinaweza kwenda Hadi 150,000.
Kwenye HDD unatakiwa uwe makini zaidi kuliko ram, zinakufa kirahisi zaidi hivyo unaweza shikishwa HDD mbovu.
Za kariakoo quality za maji ya mchele Ni around 80,000 mpaka 120,000 Hivi.Kaka niaje, hv screen ya dell aspiron inch 15.6 naeza pata kwa sh ngap
Yeah nilipata mkuu kwa bei hiyo hiyo iko fresh.siku hizi mpaka 15,000 unapata zipo nyingi madukani mkuu
Ninayo mzee, naiuza 10kWakuu nina hdd ya laptop nataka nifanye iwe external hivyo ninahitaji Hard Drive Enclosure na bei zake zikoje?View attachment 1151315
Mkuu, mambo niaje?Mkuu kwa ram 4GB Ni around 30,000 mkononi Hadi 40,000 dukani, sema Ni ddr3 ambazo zinapatikana kwa wingi Ila ddr4 zenye uhaba Bei inazidi. Kwa hizo ram kubwa mfano single slot ya 16GB Ni Ngumu Sana kuzipata na Bei zinakuwa ndefu kutokana na uchache wake. Ila Kama una laptop ama desktop zinakuwa na slot zaidi ya moja. laptop yenye slot 2 unaweza ukanunua 4GB Mara 2 na kuwa na GB 8 ram, na desktop yenye slot 4 unanunua 4GB Mara 4 na unakuwa na 16GB ram.
Kuhusu HDD mkononi 500GB zinarange kwenye 60,000 Hivi inaweza zidi Hadi 80,000 na 1TB Ni around laki 1 inaweza shuka kidogo ama kupanda kidogo, kwa mpya tegemea brand na speed zinaweza kwenda Hadi 150,000.
Kwenye HDD unatakiwa uwe makini zaidi kuliko ram, zinakufa kirahisi zaidi hivyo unaweza shikishwa HDD mbovu.
Office depot unapata mkuu ila hela inakuwa ndefu, jiandae 300k+Mkuu, mambo niaje?
Sorry, naomba unielekeze exactly wapi hapa Dar naweza pata 14.1 inches display ya laptop yangu na ranges za bei yake.
Thanks in advance.
Office depot unapata mkuu ila hela inakuwa ndefu, jiandae 300k+
::Office Depot : - Home
Kariakoo vinapatikana pia 80k mpaka 120k ila vingi sio og unawekewa tu TFT display, mitaa ya likoma na aggrey pale kuna maduka mengi tu ya vioo vya laptop.
Njia nzuri zaidi na cost effective kibongo bongo ni kutafuta laptop mbovu ambayo kioo ni kizima uchukue uweke kwako, inahitaji uwe makini lakini maana matapeli wengi mjini.
Hakuna mkuuKuna laptop inayotumia HDD ya IDE!
Chief ninashida ya fundi wa kurepair window 7 nahitaji msaada wako kimaelezoHazina issue mkuu,
1. Zinatumia Android Ina maana ni Kama tablet tu iliowekwa keyboard
2. Kioo chake ni 1024x600 tegemea quality mbovu.
3. Ukiona mtu kaandika tu quad-core ujue hio ni cortex A7 ama akikuonelea Huruma Sana cortex A53, tegemea iwe slow.
Kama unataka Android kwenye laptop zipo high quality is Kama Phoenix unaweza ukaweka mwenyewe Wala sio ngumu, PC bovubovu la core 2 duo ambalo unapata chini ya laki 2, itakuwa na speed Mara 5 ama zaidi ya hio tablet.
Most of time una repair windows na Cd/flash uliotumia kuweka hio windows, ina tatizo gani?Chief ninashida ya fundi wa kurepair window 7 nahitaji msaada wako kimaelezo
Iliniandikia ujumbe ''bootmgr is compressed press Ctrl+Alt+del to restartMost of time una repair windows na Cd/flash uliotumia kuweka hio windows, ina tatizo gani?
Pole Mkuu Inaonekana Boot Manager File Limeliwa.Iliniandikia ujumbe ''bootmgr is compressed press Ctrl+Alt+del to restart
Asante mkuuPole Mkuu Inaonekana Boot Manager File Limeliwa.
So Hapo Ni Lazima Ufanye Bootable Repair Au Ugonge Windows Juu Ya Windows Ili Kuzuia Data Zisipotee Kwenye Hiyo Partition Ya OS.
Hii Inatokea Sana Unapojaribu Kuchezea Windows Kwa Ajili Ya Activation Au Virus.
Sidhani Kama Ni Kazi Kubwa Kama Una Flash Na MB Za Kutosha Naweza Kukuelekeza Ukafanya, Kama Unaona Hautaweza Basi Nenda Kwa Fund PC Yoyote Hapo Dar Mpe Hayo Maelezo Atakusaidia Ndani Ya Dakika Chache.
Pole Mkuu Na Karibu Sana.