IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,551
- 2,695
Ndio mkuu zinaingiliana zinaitwa sata 2.5 HDD. Na hakuna HDD ya Dell ama HP brand maarufu za HDD ni Hitachi, Western Digital, Seagate, Toshiba, Samsung etc.Ishu ipo ivi baada ya kutolewa spidi na Uzi wangu jukwaa lile, nimekuja hapa swali lipo ivi je laptop hard disk zote zinaingiliana au ukubwa Wa umbo zipo sawa?? Namaanisha hard disk ya dell unaweza funga kwenye hp au Toshiba au lenovo ?? nataka nichukue hard disk ya GB 500 type ni Toshiba condition used ipo ALIEXPRESS pc yangu ni dell latitude 2100 min laptop nimeuliza kutaka kujua sio mtaalamu Wa izi ishu. Natanguliza shukrani asanteni nataraji majibu mazuri.
Almost Hard disk zote za laptop zinaingiliana 2.5 inch na hakikisha iwe sata au IDEIshu ipo ivi baada ya kutolewa spidi na Uzi wangu jukwaa lile, nimekuja hapa swali lipo ivi je laptop hard disk zote zinaingiliana au ukubwa Wa umbo zipo sawa?? Namaanisha hard disk ya dell unaweza funga kwenye hp au Toshiba au lenovo ?? nataka nichukue hard disk ya GB 500 type ni Toshiba condition used ipo ALIEXPRESS pc yangu ni dell latitude 2100 min laptop nimeuliza kutaka kujua sio mtaalamu Wa izi ishu. Natanguliza shukrani asanteni nataraji majibu mazuri.
Kuna laptop inayotumia HDD ya IDE!Almost Hard disk zote za laptop zinaingiliana 2.5 inch na hakikisha iwe sata au IDE
yeah zipo IDE sema za kizamaniKuna laptop inayotumia HDD ya IDE!
10k mpaka 15k Uhuru kkooWakuu nina hdd ya laptop nataka nifanye iwe external hivyo ninahitaji Hard Drive Enclosure na bei zake zikoje?View attachment 1151315
Asante sana mkuu.10k mpaka 15k Uhuru kkoo
Ila mkuu Kuna nene na zingine ni slim kwaajili ya laptop nyembambaNdio mkuu zinaingiliana zinaitwa sata 2.5 HDD. Na hakuna HDD ya Dell ama HP brand maarufu za HDD ni Hitachi, Western Digital, Seagate, Toshiba, Samsung etc.
Nene ni 3.5 inch sataIla mkuu Kuna nene na zingine ni slim kwaajili ya laptop nyembamba
Hapana hizo hizo 2.5 zipo nyingine nyembamba sana zinatumia kwenye ultra book.Nene ni 3.5 inch sata
Mkuu Hata Kama ni nyembamba ila still zipo kwenye category moja ya 2.5 inch na ukiweka kwenye laptop nyengine itakubali, nime angalia Tena online zinazotumika ni 3.5 na 2.5 tu model Tofauti zipo discontinued miaka kibao iliopita unaweza cheki Wikipedia hapaHapana hizo hizo 2.5 zipo nyingine nyembamba sana zinatumia kwenye ultra book.
Ni hdd siyo ssd
Nimezidi kuelewa alafu wanasem ukiweka HHD ya 500 GB lazima uweke na ram ya 4 gb ni kweli 2gb inashndwa drive ni kweli wakuu?!Mkuu Hata Kama ni nyembamba ila still zipo kwenye category moja ya 2.5 inch na ukiweka kwenye laptop nyengine itakubali, nime angalia Tena online zinazotumika ni 3.5 na 2.5 tu model Tofauti zipo discontinued miaka kibao iliopita unaweza cheki Wikipedia hapa
Mfano Kuna hizi
Zote ni 2.5 inch form factor japo moja Nene nyengine nyembamba na zinaingiliana, ikitokea moja inapwaya ama inabana unabadilisha tu caddy ya kushikilia HDD.
Si kweli mkuu, unaweza ukawa na GB unazotaka na ram unayotaka.Nimezidi kuelewa alafu wanasem ukiweka HHD ya 500 GB lazima uweke na ram ya 4 gb ni kweli 2gb inashndwa drive ni kweli wakuu?!
Ndio 3.5 ni za desktop sema desktop za kisasa zinatumia 2.5 na 2 pia.Alafu izi za 3.5 si za desktop au
Hazina issue mkuu,View attachment 1162565
Alafu na izi zipoje zina utofauti upi na laptop?!
Bro chief mkwawa umeniosha ubongo nikajua za mana kumbe utumbo tu asante chiefHazina issue mkuu,
1. Zinatumia Android Ina maana ni Kama tablet tu iliowekwa keyboard
2. Kioo chake ni 1024x600 tegemea quality mbovu.
3. Ukiona mtu kaandika tu quad-core ujue hio ni cortex A7 ama akikuonelea Huruma Sana cortex A53, tegemea iwe slow.
Kama unataka Android kwenye laptop zipo high quality is Kama Phoenix unaweza ukaweka mwenyewe Wala sio ngumu, PC bovubovu la core 2 duo ambalo unapata chini ya laki 2, itakuwa na speed Mara 5 ama zaidi ya hio tablet.