Wale jamaa wapenda kiki

Wale jamaa wapenda kiki

babayakembuzi

Member
Joined
Jan 22, 2020
Posts
21
Reaction score
16
Yani kuna ngoma kibao zimewekwa ndani WCB, lengo lao kutaka tu kupinzana na Konde Boy.

Eti Rayvany Mr Nyegezi katoa ngoma 5 bada ya jeshi kutoa. Sasa Diamond anasubiri siku tu Harmo akitoa ngoma na yeye atoe zake, hahahahahaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom