Wale funza wa miguu waliishia wapi?

Wale funza wa miguu waliishia wapi?

Watu wamekuwa wajinga, kila kitu wanatanguliza siasa, hawana ajira wala uhakika wa kula kesho, utakuta hata vitu ambavyo hajavifanya mtu wao, wao ni kusifia tu.
 
Hawajapotea bado ... Weekend nenda Machimbo ya mchanga huko Dondwe, Magereza, Katembee Msanga Zalala kule peku uje na habari hapa sehemu zote hizo zipo Mbele ya Chanika...

Tembelea mule zinapotembea big truck kuna vumbi fulani laiiniii ngano ya bakhresa sio laini ile 🤣
 
HILI NALO MKALITAZAME
 
😂😂😂
 
Mimi nilikuwa mtaalamu sana wa kuwatolea watu funza. Namtoa mzima mzima, anatoka na mayai yake.

Na wala mhusika hatoki damu wala kusikia maumivu.

Ila jamani, kama hujaliwa na funza hujui utamu wa kuuma na kutekenyeka. Anawasha unakuna, ile akiwa hatua za awali.
 
Kutoa na pini au sindano
 
Shukrani zielekezwe kwenye ujio wa chachacha na saa sita utanikoma...
chachacha aka utanikoma saa 8. hizi vijana wa leo hawazijui hizi. nitazielezea kwa kina siku moja hapa, inshallah.
 
Dah nimicheka funza wanakulatua mpaka miguu inapinda
ndio mkuu
watoto wasio na uangalizi mzuri pamoja na watu wazima waoga wa kutoa funza miguuni wengi tu walipinda miguu. unaweza usiamini ila ndio ukweli wenyewe huo
 
Funza ilikuwa tishio sana miaka hiyo. Yaani kwa tuliozaliwa hadi miaka ya 80 na 90 ni ngumu kukuta mtu hajawahi kutembelewa na funza kabisa. Kimsingi Tanzania ya zamani ilikuwa ngumu sana. Kwa mfano zamani unasafiri kwenye basi wanavuta sigara bila wasiwasi. Ustaarabu haukuwepo. Tanzania nzima ilikuwa inanuka ufukara. Hayati Mkapa ndo alianza kufanya mabadiliko mengi sana.
Tulikuwa km ma mbuzi
 
Back
Top Bottom