Walaji wa Kambale Dar es Salaam poleni

Taribo

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
89
Reaction score
85
Kambale ni samaki mtamu Sana na mwenye minofu yakutosha tuu.. Lakini kwa wapenzi wa kambale hapa bongo poleni kwa kulishwa kambale wanaovuliwa kwenye maji taka ya Mabibo, msasani na kwingineko....
 
Utampata wewe wakati mchina anashind pale msasani, kijito nyama na kawe anavua?
 
hao ndio wazuri wa Vitamin A.X kwa Suseg ni watam hao
 
Nahisi vijana wetu biology inawahusu japo mpitie vitu basic tu. Kiumbe kinapokula kitu utumbo hufyonza vitamin na madini muhimu kukiwezesha kuishi. Na mabaki na sumu hutolewa nje ya mwili. Pia kuna exceptions....Hv mnajua mavi ya dar maeneo fulani yanamwagwa baharini pale mbele ya ikulu. Na wateja kibao wanajaa ferry kunua samaki kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…