Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
Mhh GT,kimsingi ishu ya Bucha za Nguruwe umeanza kuiongelea long tyme(na nionavyo mimi malalamiko yako zaidi huelekea kwenye Udini),so nadhani hapa umewapata though itakuwa ngumu kuyavunja hayo Mabucha kama unavyotaka wewe....Nashawishika kuamini kwamba ombi/ushauri wako huu wa sasa wa kuvunja mabucha ya Nguruwe ni kutokana na ugonjwa huu wa Mafua ya kitimoto na si vinginevyo....Tanzania ni secular country bwana so acha watu wauze na kujinafasi na 'ze mduduuuz'(kama itaonekana kwamba ugonjwa huu haujaingia nchini)..Maana hata ng'ombe nao walileta homa ya bonde la ufa,kuku nao ndo kama hivyo mafua ya ndege lakini bado tunaona mabucha ya nyama ya ng'ombe na kuku yapo kwenye residential areas,nayo yaondolewe????????...WakatabahuNaam nadhani mnajua kuwa homa ya SWINE ishaanza kutapakaa kila kona na naamini kuwa sisi hatutokuwa immune kwa sababu sisi ni part ya hii globalization
Sasa in the wake of this nadhani ingekuwa bora serikali yetu iaanza kuondoa haya MABUCHA YA NGURUWE yaliyojazana kwenye residential areas kwani hiii homa ya SWINE sidhani ikianza kuuwa watu tutaiweza kuicontain considering hatuna contigency plans hizo
sana sana waheshimiwa wataanza kupanda ndege kwenda kwenye second homes kule London ambako weather ni nzuri kwa sasa and everyone seems to be ok in the wake of credit crunch
haya haya tena watu wa BORDER and IMMIGRATION.WIZARA YA FEDHA, HALMASHAURI YA JIJI na wengineo
Naona sijasikia Tz kutangaza hali yeyote ile kuhusiana na Swine flu ambayo hivi sasa limekuwa gumzo duniani isipokuwa hapa Tanzania
gonjwa hili hatari UN wameshatangaza asie na mwana abebe jiwe.
Naona sijasikia Tz kutangaza hali yeyote ile kuhusiana na Swine flu ambayo hivi sasa limekuwa gumzo duniani isipokuwa hapa Tanzania ,hivi Waziri husika ameitayarisha vipi Tanzania kutokana na janga hili linalopanda chati kila kukicha.
Serikali imejipanga vipi kukabiliana na uzito wa maambukizi ya Swine-flu au haina habari wala hawafahamu kitu hiki ni nini ?
Tanzania inapokea watalii kutoka sehemu nyingi duniani na huko wanakotoka mambu si mazuri kutokana na gonjwa hili hatari UN wameshatangaza asie na mwana abebe jiwe.
Je yapo madawa ya kutosha ambayo yataweza kukabili msimu wa maradhi haya yatakapogundulika kuwa yameonekana na kuhisiwa sehemu fulani ,wananchi wanatayarishwa vipi kukabiliana na tatizo hili ,hatua gani zipo standby kuchunguza na kuwachunguza wageni wanaoingia kwa njia ya anga au mipakani.
Kinga ni bora kuliko Tiba ,Waziri upo ?
Mkuu! Swine flu hauipati kwa kula kitimoto, hili jina la Swine Flu ni la kipumbavu sana. WHO from now on wanasema hawatakuwa wanatumia jina hilo maana limeleta confussion. Inaitwa H1N1 virus now.WAZIRI ANAOGOPA KUWAUDHI "WANAOKULA KITI MOTO NA WAUZAJI WA BIDHAA HII TAKA-TIFU".
Wataibadilisha kila majina kwa sababu tu imeanzia kwao na inaenea kama vumbi la upupu ,kwani hata wale virusi wa AIDS nao wana jina mbona hawakubadilisha na kila siku wanadai ilianzia EastAFrikaMkuu! Swine flu hauipati kwa kula kitimoto, hili jina la Swine Flu ni la kipumbavu sana. WHO from now on wanasema hawatakuwa wanatumia jina hilo maana limeleta confussion. Inaitwa H1N1 virus now.
Sasa in the wake of this nadhani ingekuwa bora serikali yetu iaanza kuondoa haya MABUCHA YA NGURUWE yaliyojazana kwenye residential areas kwani hiii homa ya SWINE sidhani ikianza kuuwa watu tutaiweza kuicontain considering hatuna contigency plans hizo
sana sana waheshimiwa wataanza kupanda ndege kwenda kwenye second homes kule London ambako weather ni nzuri kwa sasa and everyone seems to be ok in the wake of credit crunch
haya haya tena watu wa BORDER and IMMIGRATION.WIZARA YA FEDHA, HALMASHAURI YA JIJI na wengineo
Hii sura inatisha kweli, ila mtamu kweli.
Lakini watu wanasema mbaya wa sura tu ila ni mtamu mno.