L loyda JF-Expert Member Joined Jun 30, 2014 Posts 436 Reaction score 128 Sep 5, 2015 #1 Wakuu ni kitambo sana kuingia humu naishia jukwaa la siasa tu leo nmeona nikupen hi! naamin mko poa kabisa na ujenzi wa Taifa have a nice w/end much lov u! wako Loyda
Wakuu ni kitambo sana kuingia humu naishia jukwaa la siasa tu leo nmeona nikupen hi! naamin mko poa kabisa na ujenzi wa Taifa have a nice w/end much lov u! wako Loyda
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Sep 5, 2015 #2 Ukawa huko jukwaa la siasa wanaongoza au??
love more than100 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 2,061 Reaction score 715 Sep 5, 2015 #3 Nani Rais kapitishwa huko?