Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,387 Reaction score 100,504 Aug 14, 2010 Thread starter #21 Nimefurahi sana mwezi wa utukutu, sorry utukufu umefika kwani sasa mboga yetu haitakuwa tena na upinzani
Nimefurahi sana mwezi wa utukutu, sorry utukufu umefika kwani sasa mboga yetu haitakuwa tena na upinzani
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Aug 14, 2010 #22 ila sio siri saa izi mdudu kaadimika sana baada ya hawa jamaa kufunga...............bado sijajua connection ya mfungo wa waislamu na kuadimika/kushuka kwa kiasi kikubwa kwa mauzo ya kitimo?????????!!!!!!!
ila sio siri saa izi mdudu kaadimika sana baada ya hawa jamaa kufunga...............bado sijajua connection ya mfungo wa waislamu na kuadimika/kushuka kwa kiasi kikubwa kwa mauzo ya kitimo?????????!!!!!!!