Wakuuu:utaratibu wa kuconfirm

Wakuuu:utaratibu wa kuconfirm

Deucalion

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
88
Reaction score
22
Jamani wakuu utaratibu waku confirm chuo ukoje.na je ukisha confirm feedback inachukua mda gani
 
sema ni chuo kipi umechanguliwa hili upewe msaada kwani kila chuo kina mfumo wake wa kuconfirm
 
ingia kwenye tovuti yao angalia list ya majina kwa juu wameweka no. za simu wapigie confirm
 
Nimmechaguliwa mzumbe, ila sikuomba mara ya pili,
First selection nlikuwa nimeshapata udsm na sioni namna ya kuconfirm popote. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom