CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
jana nilipata wasaa wa kuwasiliana na rafiki yangu aliyetumbuliwa.. nasema ametumbuliwa kwa kuwa katika vile vigezo alivyosema mheshimiwa raisi vya umri n.k yeye kwakweli bado ni kijana maana ana aproach 43 kama sijakosea sana..
rafiki yangu huyu tulishibana sana na kuna baadhi ya fursa nyingi nilipata kupitia kwake..kiukweli rafiki yangu huyu hakuwa "mchoyo" wala hakuwa mtu wa kupenda misifa ya mtandao na huwezi kumuona kabeba box au kutoa matamko n.k yeye aliangalia kazi zake kama dc.. baada ya Raisi kutangaza wakuu wapya niliamini 100% rafiki yangu huyu atarudi madarakani lakini hakurudi! kijana huyu kwa sasa yupo kijini kwao nadhani anajipanga sasa kufanya vitu vingine ingawa kadai hajui sasa aanzie wapi! anajipa likizo kwanza ya kutafakari afanye nini maana kwa maoni yake anadai hakutegemea 'kuondoshwa' mapema hivyo...
sasa kwanini nimeleta huu uzi..
nina rafiki yangu mwingine dc wa Arusha kwa sasa (ni rafiki yangu kwenye facebook!) juni 1 mwaka huu aliandika hivi kwenye ukurasa wake..
"nakumbuka nilipotoka kwenye udc na kuambiwa nitapangiwa kazi nyingine kuna watu walisema sasa kaisha, tumemmaliza...wakti wote niliwaambia Mungu wangu yuko hai..pamoja nayote hayo bado nilirudi kwenye udc"
marafiki wengi walimsifia kwa posti hii lakini mimi niliandika tofauti kabisa nilimwambuia kuwa..
"sawa mheshimiwa umechaguliwa tena lakini kumbuka kuwa kazi ya kutegemea kuteuliwa si nzuri haswa kwa kijana kama wewe, maana utaishi maisha ya kinafiki sana"
baada ya kupost hivi wengi walinitukana kuwa sijielewi, lakini nashukuru huyu rafiki yangu dc ali-like.
sasa nimetoa kama ushauri kwa hawa madc wapya unapoteuliwa amini hapo upo kwa ajili ya kufanya kile unachotakiwa kukifanya hata kama wewe hukubaliani nacho! na maisha yako yote utayatumia kuishi maisha ya kinafiki na siku ukitumbuliwa utapata tabu sana kurudi katika maisha yako ya kawaida..
yohana 4:34
"Yesu akajibu akawaambia, chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake ALIYENIPELEKA! nikaimalize kazi yake"
kwahiyo utaona kuwa mtumishi wa kuteuliwa lazima afanye makusudi yake yeye aliyemtuma...hafanyi ya kwake... ndio maana wale wa Dar wamepewa ilani ya CCM ili wafanye mapenzi ya yule aliyewapeleka... hawapewi katiba ya nchi maana hawajachaguliwa na wanachi!
maisha yako yote unayatumia kulinda kibarua chako tu ili kumfurahisha yeye aliyekuweka na siku ukitumbuliwa..lazima urudi kijijini kama huyu rafiki yangu..