Wakuu wa Shule wataendelea kutumbuliwa kwa haya matokeo kidato cha pili?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,887
1,350
Matokeo ya kidato cha pili yametoka na inaonekana Shule za private zimeendelea kushika usukani sasa swali ni je Wakuu Wa Shule wataendelea kutumbuliwa ?
1484487536559.jpg
1484487542413.jpg
 
Mtwara nasikia wanapenda sana ngono shule siyo kipaumbele sana. Kuna mhubiri alikuwa anashuhudia mila na desturi zao ndiko wanaelekeza watoto wao.
 
hiyo ya pili ya kumi bora , ni uongo labda kama wazee wa kanzu walitajiwa
 
Elimu bure, ni tofauti kile alichosoma yule waziri wa Uingireza ambaye white hair a.k.a mzee wa hekima alimnakili!
 
Nasikia Mtwara ule msako wa vyeti feki walimu wengi wamekimbia,kwani wengi wao walitumia vyeti vya Buguruni.
 
Back
Top Bottom