Wakuu wa shule moshi rural (cag uko wap?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa shule moshi rural (cag uko wap?)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joan Joel333, Sep 16, 2012.

 1. J

  Joan Joel333 Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  • [*=1]ni swali ambalo najaribu kujiuliza ha cku nyingi na cpati picha kwani ni muda mrefu cjawahi kuckia mkuu wa shule amewajibishwa kwa tuhuma za ufisadi na ukiangalia shulee nyingi amabazo zinaongozwa na hawa watu kila ukiongea na mwalimu analalamika kuhusau wakuu wa shule kuwa wabinafsi na kusahau wanachofanya iko cku itakula kwao.wakaguzi wa halmashauri huwa wanzitembele kila kukicha lakini cjui wanakagua nini na hua hawaongei na wanafunzi na waalimu ukiacha waaalimu kukaguliwa tu

   [*=1]

   [*=1]darasani wanapaswa kutambua kero za waalimu wakiwa mashuleni na wanafunzi na kuzitafutia ufumbuzi, ninachojua huwa waalimu hawadanganyi na hamna mwalimu wa kawaida wa darasa ambaye ni fisadi kwani nyanja zote muhimu zinamilikiwa na wakuu. Ukiaangalia maisha ya wakuu wa shule na

   [*=1]

   [*=1]mazuri kani wana uwezo unaoshinda mishahara yao tunayoijua kwa kuziangalia salari slip zao na baadhi ya wahasibu wanamiliki magari ilhali mishahara yao ni mdogao kuliko hata ya mwalimy na wanakaa kwenye nyuma za kupang za bei za juu.ivi inakuaje wanaleta maringo kila kukicha ilihali

   [*=1]

   [*=1]wanafunzi hata chakula chao cha mchana hawana uhakika wa kupatikana. Na shule izi zina shamba kubw kuliko shule zote za kata moshi rural lakini haina chakula na hakuna msimu hat mmoja ambao mavunao hayakupatikana?.nauliza wakuu wa shule hawatakiwi kutoa taaarifa za mapato na matumizi kwa

   [*=1]

   [*=1]waalimu na wanafunzi wanaowaongoza kama wanatakiwa basi cdhani kam akuna mwalimu wa kawaida ambaye anajua shule ina nini , imepewanin. Na salioa benki ni kiasi gani. Hii ni hatari sana kwani inapuguguza ari ya waaalimu kufanya kazi kwa moyo woa wote ilhali wakuu hawwajali waaalimu wao vituon wanchojua nia kuwashindilia mavipindi mengi hhuko wao wakijichana pombe hata muda wa

   [*=1]

   [*=1]kazi.haya sio amjungu ila saa nyingine mambao yanakera mno na wakuu wanafiri watu ni wajinga sana na hawaoni.ila iko cku nao italula kwao. Serikalia makini ifuatilie shule hi iko juu ya uru seminari inaitwaaaaaa ............lla.temu iliyopita wanafunzi walikula kwa kubip baada ya mahindi yote

   [*=1]

   [*=1]kuuuzwaa kwa hasara na hatimaye kununua kwa bei ya juu. Wahojiwe wazai na wanafunzi wataongea.mkuu huyu noooma.mmmi ni mwanakijiji ninayekerwa na ucmamizi wa hii shule na bodi yake .tangu aje wazazi hawajawahi kuitwa kama ilivyokua awali enzi ya g.....th....rd:a s 100::a s 100::a s 100:
   
Loading...