usaliti upi! wewe ulitaka wakiitwa na mkuu wao wasinde? au watu wa habari wakifika kwenye hayo mashule wapewe habari na walinzi? sijaona usaliti wa wakuu washule mana hapa ndo changamoto ya ukuu wa shule ilipo! mana nia kama daraj kati ta ya walimu wa shule usika na serikali ya eneo husika! sasa akiamua kukaa tu nyumbani! nani atawaconnect hawa watu ili suluhisho lipatikane na hatimaje hali ya elimu irejee katika hali nzuri! mawasiliano ni kitu muhimu sana mkuu!