Wakuu wa idara ndc wakatwa mishahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa idara ndc wakatwa mishahara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasho la Damu, Jun 11, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wasalaam JFHabari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa wakuu wa idara wa Ngorongoro District Council amenihabarisha kwamba wakuu wote wa Idara wa H/M hiyo isipokuwa wakuu wa idara ya Mali Asili, Utawala na Maendeleo ya jamii wamekatwa 15% ya mishahara yao kwa muda wa miezi 2 kutokana na kugundulika kuwa wameshindwa kusimamia vyema miradi ya maendeleo na uwajibikaji wa kazi katika idara zao. Maamuzi hayo yamefikiwa katika vikao LAAC vilivyofanyika jijini DSM kwa dhumuni la kurejea na kupitisha bajeti za idara
   
Loading...