Wakuu wa electronic msaada tafadhalin

Wakuu wa electronic msaada tafadhalin

Aaaa hapo sawa mkuu ila naitamani sana nitengeneze amplifier ya transistor ila goja nikanunue kwanza transformer kumbwa ase hivi transformer yenye power supply ya volt24 inauzwa shii ngapi mkuu
Huku moshi zinauzwa 20 ha 25 elfu
 
Aaaa pw kumbe zina bei sanae ....ok vp na transistor moja ni shingapi kwa huko mkuu
 
Achana na mchoro nunua kiberiti cha usb sd na fm tafta volt tano na l and r sound kazi tayali msaada zaidi nifollow fb jina hilo
 
Back
Top Bottom