zakayoyoung
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 140
- 39
Nimeunda amplifier nimetumia tda2030 na tda2050 ni nzuri kama inavyoonekana pia inatoa sauti nzuri tena ya kutosha..
Ila nilichotaka kusaidiwa ni kwenye ile system ya SD card inayo toa small signal nataka niiuganishe na ic ya FM radio ili zifanye kazi kwa pamoja yaani nikiiwasha bila kuweka memory card ifanye kazi kwenye FM
Alafu nikiweka memory card fm izime memory card ifanye kazi
Naamini wajuzi wapo nisaidieni