Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,607 52,336 Aug 16, 2011 #1 Tafadhali naomba msaada wa kupata contacts za kiwanda cha kutengeneza chupa za plastic hapo arusha. Ukubwa wa chupa ni mls 350 au zinaitwa jam jars.
Tafadhali naomba msaada wa kupata contacts za kiwanda cha kutengeneza chupa za plastic hapo arusha. Ukubwa wa chupa ni mls 350 au zinaitwa jam jars.
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Aug 16, 2011 #2 Wasiliana kwa maelezo zaidi. 1. +255-27-2501668/1667 ( A to Z) 2. +255-27-2505062 ( bestpack )
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,607 52,336 Aug 16, 2011 Thread starter #3 sweetlady said: Wasiliana kwa maelezo zaidi. 1. +255-27-2501668/1667 ( A to Z) 2. +255-27-2505062 ( bestpack ) Click to expand... asante mkuu najaribu sasa hivi
sweetlady said: Wasiliana kwa maelezo zaidi. 1. +255-27-2501668/1667 ( A to Z) 2. +255-27-2505062 ( bestpack ) Click to expand... asante mkuu najaribu sasa hivi
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Aug 16, 2011 #4 Mamndenyi said: asante mkuu najaribu sasa hivi Click to expand... Karibu!
Livanga JF-Expert Member Apr 15, 2010 469 148 Nov 2, 2016 #5 Salama humu. Hizo namba zote zinasema sio sahihi. Naomba mwenye namba zinazopatikana za best pack tafadhali. Au namba ya Kampuni yoyote inayodeal na package za plastic au za Glass za 500g na 1000g
Salama humu. Hizo namba zote zinasema sio sahihi. Naomba mwenye namba zinazopatikana za best pack tafadhali. Au namba ya Kampuni yoyote inayodeal na package za plastic au za Glass za 500g na 1000g