Sawa,tumekusikia!Habari wana JF.
Hizi ni Fact kuhusu vitu hivi.
Papai changa (mafuta yake) - yanasimamisha maziwa Kwa wanawake, Hata kama yalilala vipi yanarudi kuwa saa sita.
Apple/Tufaha - Hujenga uke(Hujenga afya ya uke).
Ndizi/Tango - Hujenga uume/uke kuwa imara(misuli).
Uyoga - Tiba ya sikio.
Nyanya (juisi ya nyanya) - Tiba ya moyo, presha.
Karoti - Huimarisha/ kuongeza kinga ya macho.
Tangawizi - Huimarisha mfumo wa chakula, Tiba ya tumbo.
Tikiti Maji - Tiba ya kichwa.
Maboga - Hujenga shape na kuwa namba nane.
Nitawapelekea CCM matikiti maji kwenye mikutano yaoTikiti Maji - Tiba ya kichwa
Mweeee ya kweli hayoMaziwa ya mtindi hunyewa sana na makahaba ili kurudisha k irudi katika upya wake aka intact 😃
Ana kitu yuleKanifurahisha sana Mkuu.
HakikaAnajiongeza sana elimu yake inafaida kwa jamii.
Nile maboga mangapi kwa siku?Habari wana JF.