Mimi nipo hapa Majita ukitoka huko tukutanie Bunda tule good time ingawa sehemu yenyewe utafikiri si wilayani utadhani ni kama vile makao makuu ya kijiji kumbe eti ni makao makuu ya wilaya
ahaha maendeleo bunda yamechelewa sana umuhimu wa wasira hauonekani,nilishindwa kuanzisha safari leo sababu ya mvua nadhani kesho asubuhi ntaweka mabegi mgongoni.