Labiance21
Member
- Jul 15, 2025
- 60
- 71
Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,.
(1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000.
(2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000
(3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa kifuani kwa ajili ya kuangalia mapigo ya moyo,lakini hii ni special kwa wanaotumia garmin watch iko miwili naitakia 70,000 each
(4)I pod classic 160Gb naitakia 250,000
(5)Nikon lens 70-300mm naitakia 550,000
(6)Nikon lens 28-80mm naitakia 350,000

(7)Nikon lens 11-27.5mm naitakia 150,000.Pia nna sum silver Bracelet gram 30,cheni kubwa ina gram 30,cheni ya msalaba in gram 10,na pete ina gram 11,.Silver nauza gram moja 7000.Ahsanten Wakuu naambatanisha na picha za hivyo vitu.