Wakuu nisaidieni hili tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu nisaidieni hili tatizo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kizwili, Feb 20, 2012.

 1. K

  Kizwili Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nina mtoto wangu ana three ya 24 .kisw C,eng C,Bios B,phy D, chem D,the rest ana D zote.kombi ya kwanza alijaza CBG .anaweza kuchaguliwa kombi gani
   
 2. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapo hawezi kuchaguliwa mkuu kombi yoyote, hana crdt za kombi zimegoma. Jiandae kumtafutia Private school. N:B, km ni wa kike ataweza kuchaguliwa cz mwaka huu wamefeli sana.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Labda HKL kama alijaza.
   
 4. K

  Kizwili Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani cömb za sayansi wanachukua kuanzia point ngapi?
   
Loading...