Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Habari Wana JF natumai wote ni wazima wa afya.
Wakuu siku ya Jumatatu nilikwenda moja ya hospitali hapa mkoani ni ya binafsi (watu wengi wanaisifu), nilikuwa na mumivu chini ya mbavu, baada ya kufanya Ultrasound majibu yakasema na nephritis yaani Figo ya kulia imevimba pamoja Nikakutwa sepsis, daktari akanipatia dawa Flucamox na Metamefac acid.
Lakini kitu cha ajabu siku ya Jana, nikaenda hospitali ya rufaa ya mkoa japo maumivu yalikuwa yamepungua daktari akashauri nifanye ultrasound lakini kitu cha ajabu hadi sasa nashidwa elewa majibu yametoka yanaonesha kuwa sina shida yoyote.
Figo, appendix na upande wote wa kulia upo sawa Kabisa.
Daktari akasema may be inaweza kuwa na ulcers, Lakn utrasound ipo vizur kabisa.
Wakuu Yani sielewi kabisa, nawaza je hospital ya kwanza ya Private walifanya ujanja au hospital ya serikali ya mkoa walikosea kupima . Kwa kweli utofauti wa vipimo huu unanishangaza sana.