Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu.
Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu kwenye watu.