Wakuu nina wazo

Demu wa wote hahaha
 
Nikamuambia umeambiwa uongeze shing ngapi anadai kaambiwa ajazie 1.5m. Namuuliza ehee we una ngapi sasa kati ya hizo? Anasema ana 100k! (Najua ni uongo hana ata mia) 🤣🤣🤣 Nilicheka sana nikamuambia hebu vua nguo
Demu wa hivi yuko tayari kuuza hadi. 0718 ili apate Iphone.

Wewe fikiri hana hata Laki moja ila anataka simu ya milioni 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…