Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,785
- 4,498
Asee huo ujasiri wa kuchezea pesa Kwa wanawake mnatoaga Wapi?, Mimi hata niwe na pesa nyingi kama bilgert siwezi kuhonga kirahisi rahisi na ovyo ovyo.Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.
Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.
Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.
Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Mkuu,Asee huo ujasiri wa kuchezea pesa Kwa wanawake mnatoaga Wapi?, Mimi hata niwe na pesa nyingi kama bilgert siwezi kuhonga kirahisi rahisi na ovyo ovyo.
Napohesabu pesa zangu najiskia raha kuliko kusex na kuliko kuwa na Dem
Hivi unaongaje Dem pesa ili umle? Kwanini usiliwe wewe ili hizo pesa uchukue wewe
Nataka nimdhihirishie ni Kwa jinsi gani mtu mwenye uchungu na pesa zake ilivyo vigum kumhonga mwanamke kama jinsi ilivyo ngumu Kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoMkuu,
Nakuelewa sana ila hapo "uliwe wewe" pako vipi hapo?
Unaliwaje mtu mwanamme kwa mfano?
Mkuu,Nataka nimdhihirishie ni Kwa jinsi gani mtu mwenye uchungu na pesa zake ilivyo vigum kumhonga mwanamke kama jinsi ilivyo ngumu Kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Mwishowe analeta utani [emoji3][emoji3][emoji3]Kulazimisha penzi Ni sawa na kulazimisha fani[emoji2]
Huyu bado hajawajua hawa viumbe [emoji3][emoji3]Ungemwambia auze iPhone yake apate nauli ya kwenda kazini
Siyo vizuri☺️Wazo lako baki nalo mwenyewe.
Hakika mkuu hawa viumbe wakazie. Wengine wanaogopa akimwambia HAPANA kwamba atampotezaHuyu bado hajawajua hawa viumbe [emoji3][emoji3]
Bila ukauzu hutoboi!
Hebu haya maneno yaweke kwenye voice basi 😂😂😂Basi nakupenda ww mfyuuuu 😂😂😂😂
Kuhusu kukomoa hapo🤔, hivi utakomoa sehemu anayopita mtoto? Kwa ukubwa gani huo wa mti nyama ? Tena ndiyo utazidi kunogewa hutomuachaPesa ninayo ila sitaki kuitumia kwa mtu asie sahihi ndio maana nataka nimkomoe
Mwanamke awe wa maisha ya chini kama akutaki anaweza kukuomba umjengee nyumba, na mwanamke mwenye pesa kama akupendi anaweza kukwambia na akakata mawasiliano bila kukufukuza kwa kukuomba vitu vya bei kubwa, kwa hiyo unavyosema atafute mwanamke wa saizi yake sijajua unamaanisha nini, Kuna Mtoto wa Marehemu Rais wa awamu ya pili Mwinyi Binti yake aliolewa na Muuza Michele solo la kusutu, je Je huyo muuza Mchele sokoni na Binti wa Raisi ni saizi yake?Nyie wanaume muwe mnadate na watu wa class na size yenu, sio kukurupukaa.
Tumeshachoka kusikiliza kero zenu hapa, mxxxiiiieeew
Mgonge mara ya mwisho akuachie gonoNipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.
Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.
Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.
Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Sawa sawa.Bado Ke anayeishi kwao ana unafuu kwa 70% kuliko Ke anayeishi ghetto, kiuhalisia Ke akiwa free sana ndivyo hujirahisisha kuwa gubegube maana hushawishiwa na vingi pasipokuwa na Mtu wa kumuonya/kumkataza afanyavyo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani alikuwa analipiwa na nani?Sa unataka nani amlipie Kodi mchumba wako?