Nakuchukia sana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 592
- 1,162
Kwa nini mwanaume asipooa wala kuwa na mtoto anateseka uzeeni hata kama ni tajiri
Upweke hauna baunsa.Kwa nini mwanaume asipooa wala kuwa na mtoto anateseka uzeeni hata kama ni tajiri
Swali uliloleta hapa Mungu tayari alishalipa majibu mazuri sana katika uislamu. Mungu alituhalalishia ndoa katika uislam kwa faida ya mambo mengi sana 1 likiwa hilo la kupata watoto, utulivu na mengine mengi yapo, na utashangaa yote yamefafanuliwa vizuri sana katika Quran na hadithi za Rasullu Allah s.a.w., Utajiri sio kuwa na fedha tu kama wengi wanavyofahamu., Ndio sisi waislam ukifikia umri wa kuona tunahimizana kufanya hiyo nusra ili kupata kupata majibu sahihi likiwemo hilo la uzeeni bila ya mtoto kama dini yetu ilivyotufundisha. Mungu anajua yote hayo ndio tumehalalishiwa.Kwa nini mwanaume asipooa wala kuwa na mtoto anateseka uzeeni hata kama ni tajiri