Wakuu nawaombeni munisaidie nina maradhi ya uti wa mgongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu nawaombeni munisaidie nina maradhi ya uti wa mgongo

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Jun 27, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Wakuu Nawaombeni kama kuna Mtu anajuwa Dawa ya kutibu (Uti) wa Mgongo
  (Spinal Stenosis) anisaidie jamani. Matatizo hayo yaliniwahi kunitokea Mwaka 2004 nikaenda Hospitali kufanyiwa Check ya XRay ya mwili mzima, Doctor akanipa dawa nikatumia nikapona. Lakini sasa yamenirudia tena nikikaa mahali pamoja kwenye kiti kwa muda mrefu huwa nasikia Maumivu yanayotoka kwenye kikalio changu cha mguu wa kushoto kwa ndani maumivu yanakuja mpaka miguuni kama mfano wa nyoka anavyotambaaa kwenye mwili wangu. Maradhi yangu yanaitwa kwa kiingereza (Spinal Stenosis)kwenye Kikalio changu kwa upande wa kushoto huwa ndio nasikia Maumivu yanakuja mpaka chini Doctor aliwahi kuniambia nina matatizo kwenye Kikalio changu cha mguu wa kushoto kuna kitu kinaitwa (Disk) kwa lugha ya Ki Doctor hiyo Diski ipo kwenye kikalio changu kwa mguu wa kushoto ndio inayoniletea Maumivu. Nawaombeni Ushauri wenu nitumie Dawa gani kumaliza Matatizo yangu Asanteni. angalia picha za chini huo Ugonjwa Umri wangu ni Miaka 46  Pictures

  stenosis mri jpg

  [​IMG]

  claudication pain in the legs with walking which is relieved by bending and sitting leg weakness leg numbness and loss of deep tendon reflexes Diagnosis The diagnosis of spinal stenosis is made with neuro imaging modalities MRI provides the best picture of the spinal cord and nerve roots If MRI cannot be obtained CT scan with myelography is

  lumbar stenosis intro01 jpg

  [​IMG]

  A Patient s Guide to Lumbar Spinal Stenosis Introduction Stenosis means closing in Spinal stenosis describes a condition in which the nerves in the spinal canal are closed in or compressed The spinal canal is the hollow

  Spinal Stenosis Treatment

  [​IMG]

  sacrum is made up of five vertebrae between the hipbones that are fused into one bone The coccyx is made up of small fused bones at the tail end of the spine Nerve Structures If you look at an individual vertebra from the top you see a disc of bone in front and a ring of bone with several prongs called processes

  image030 gif

  [​IMG]

  of the areas that need decompression and nothing else Minimal tissue is damaged and the spinal structure is mostly intact The above are all signs associated with spinal and foraminal stenosis The enlargement of the joints compresses the nerves as they exit from the

  spinal stenosis jpg

  [​IMG]

  Neurosurgery Faculty Physicians About Spinal Stenosis Degenerative disease of the spine involves arthritic changes in the bone joints and ligaments The spine consists of the vertebral bodies

  spinal stenosis type 2 jpg

  [​IMG]  Spinal Stenosis

  [​IMG]

  Pictures Images Spinal Stenosis Spinal stenosis is narrowing of the spinal canal This can develop as you age from drying out and shrinking of the disk spaces 80 of the disks are made up of water If

  Canal Stenosis jpg

  [​IMG]  stenosis BB jpg

  [​IMG]

  your spinal cord and nerve roots travel through become narrower so narrow that your spinal cord and nerve roots get squeezed Doctors often call this squeezing compression Squeezed spinal cord and nerves doesn t sound pleasant and really spinal stenosis isn t It can lead to pain in your lower back legs neck arms or hands It all depends on

  lumbar stenosis thumb bdy jpg

  [​IMG]

  About Spinal Stenosis

  X Ray Of Neck

  [​IMG]

  Spinal Stenosis Northern Kentucky Professional Radiology Inc What is Spinal Stenosis Spinal stenosis is a agonizing degenerative condition of the spine that effects the nerves and spinal cord The vertebrae and cartilage of the backbone narrow in on the spinal canal the

  spinal stenosis cincinnati

  [​IMG]

  This is basically when the vertebrae are no longer supported correctly and become slanted This can put pressure on the spinal cord and the five nerve roots coming out of the spinal cord Spinal Stenosis Spinal stenosis is the narrowing of the the spinal canal The spinal canal is sort of like a tunnel in which the spinal cord is located When the space gets smaller it puts

  lumbarspinalstenosis net image jpg

  [​IMG]

  Lumbar Spinal Stenosis lumbarspinalstenosis net

  Intervertebral disk

  [​IMG]

  children with achondroplasia die suddenly often in their sleep when compression of the upper end of the spinal cord interferes with their breathing Between each vertebra is an elastic pad of cartilage called an intervertebral disk The disks consist of a tough fibrous outer covering annulus fibrosus and a jelly

  Epidural Steroid Injection Relieves Pain From Spinal Stenosis

  [​IMG]

  i steroids Pain and inflammation from pressure on the spinal cord are treated with epidural steroid injection ESI because the injection does not go into the membrane that contains the spinal cord and

  spinal stenosis cincinnati

  [​IMG]

  damage to the bones but also damaged discs ligaments and spinal cord and possible tumors There are several other exams the doctor may perform but these are the two most common tests Treatment of Spinal Stenosis A doctor may recommend wearing a supportive back brace This is supposed to work to align the vertebrae and take the pressure off the spinal cord It will appear

  Spinal Stenosis

  [​IMG]

  Pictures Images Spinal Stenosis Spinal stenosis is a narrowing of the lumbar or cervical spinal canal The narrowing can cause compression on nerve roots resulting in pain or weakness of the legs

  spinal stenosis jpg

  [​IMG]

  Spinal Stenosis is the narrowing of the spinal canal The spinal canal is the open area in center of each of the bones vertebrae that make up the spinal column The spinal cord is a

  xstop fig1a thumbnail jpg

  [​IMG]

  narrowing of the spinal canal and neural foramen leads to nerve root compression and ischemia and neurogenic intermittent claudication NIC 17 18 19 20 21 22 23 24 Figure 1a Normal spinal canal on the left degenerative lumbar spondylosis and stenosis on the right

  Spinal Stenosis Test for Treatment

  [​IMG]

  a diagnosis of spinal stenosis can be difficult because the symptoms can be similar to those of other conditions and because the symptoms can come and go To determine the cause of you symptoms your doctor will probably ask you to undergo several tests These may include
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Wadau na wajuzi wa tiba hebu mpeni huyu ndugu ushauri wa maana ili tuendelee kuwa nae hapa jamvini
   
 3. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  http://www.neurosurgery.ufl.edu/patients/images/stenosis_mri.jpg Hiyo picha ni yako au.,,,

  maelezo yako na ripoti ya kipicha ni tofauti..na maelezo ya ugonjwa wako.,leo Mshikaji wangu ambaye ni mtaalamu wa NYURO alikuja kunitembelea na nikamwonyesha suala lako,.ameshindwa kutoa maelezo au maswali elekezi sababu ya picha zako,.sasa weka picha halisi,.kama unazo hasa hiyo MRI na ukiweza Chest X ray na vipimo vya damu.,ugusie machache ya madaktari wa fani husika walisema nini,...mshikaji ataanzia hapo

   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Hiyo Picha sio ya kwangu.
  Mkuu hebu angalia hii picha chini ya huo mkono kwa chini yake ndio matatizo yangu yalipo ninamaanisha kwenye Makalio yangu ya mguu
  wa kushoto hiyo sio picha yangu XRAY yangu nitakuwekea inshallah. Hayo maelezo ndio yanayotokana na Maradhi yangu hebu angalia hiyo picha niliyokuletea sasa.


  [​IMG]
   
 5. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MziziMkavu,the best ni kwenda kumuona neurologist au neurosurgeon.Mimi kama daktari,nahitaji kupata chief complaint yako,history of present illness,past medical history(past diagnosis,history of trauma,history of surgery,history of blood transfusion etc),social history(habit,occupation,interpersonal relationship etc),family history(genetic/familial correlation).
  Mara nyingi siwezi ku consider medical terms anazozitumia mgonjwa,maana mgonjwa aweza sema kapata stroke kumbe anamaanisha syncope,in short siwezi ku rely on ur technical terms kwa sababu huwa zina miss lead in making diagnosis.Kwa mfano hapo uliposema dawa ya kutibu (uti) wa mgongo.....inachanganya kidogo.

  Kulingana na maelezo yako,yabidi umuone neurosurgeon,na kwa ninavyofahamu inabidi ufanye surgery ili ku ondoa hiyo spinal nerve compression ambayo imesababishwa na spinal canal stenosis.Pia physical therapy yaweza punguza symptoms

  Hizo picha ulizoweka zinaweza kukupa clue,maumivu unayohisi ni kutokana na nerve inayo innervate your lower limb imekuwa compressed,na inakuwa aggrevated unapokaa kitako kwa sababu your body's center of gravity ina concetrate kwenye uti wa mgono
   
 6. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  zingatia na ya Qadhi,.ushauri utapata,...humu nadhani hautakuwa mbali na wa huko utakako elekezwa,.ACHENI KUFICHA MAMBO ITUMIENI JF IPASAVYO
   
 7. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe ndio resident doctor wetu wa tiba mbadala na hizo picha zinaonyesha umesha google mtandaoni,ngoja tujaribu,maelezo yako yanaonyesha unasumbuliwa na sciatic nerve ambayo huanza kiunoni-****-mpaka nyuma ya goti na ukikalia hilo **** unakuwa unaubana.
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Diana-DaboDiff wewe haswa umeyagunduwa Matatizo yangu nilikuwa natafuta jina lake haswa sasa umenipa hilo jina lake linaitwa kwa lugha ya kiingereza ni Sciatic Nerve Kwa Lugha ya Kiswahili inaitwa Mshipa wa Nyonga. Matatizo yanayoanza kwenye kikalio changu mpaka chini mguuni haswa kwa upande wa kushoto. Kwa wakati Mwengine unakuwa unabana kweli na kushindwa hata kutembea hayo ndio Maradhi yangu.
   
 9. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaona sasa MziziMkavu maelezo na picha zako zinavyoweza ku miss lead diagnosis  Sciatica


  Sciatica refers to pain, weakness, numbness, or tingling in the leg. It is caused by injury to or compression of the sciatic nerve. Sciatica is a symptom of another medical problem, not a medical condition on its own.

  Causes

  Sciatica occurs when there is pressure or damage to the sciatic nerve. This nerve starts in the spine and runs down the back of each leg. This nerve controls the muscles of the back of the knee and lower leg and provides sensation to the back of the thigh, part of the lower leg, and the sole of the foot.

  Common causes of sciatica include:

  Piriformis syndrome (a pain disorder involving the narrow piriformis muscle in the buttocks)
  Slipped disk
  Degenerative disk disease
  Spinal stenosis
  Pelvic injury or fracture
  Tumors

  Symptoms

  Sciatica pain can vary widely. It may feel like a mild tingling, dull ache, or a burning sensation. In some cases, the pain is severe enough to make a person unable to move.

  The pain most often occurs on one side. Some people have sharp pain in one part of the leg or hip and numbness in other parts. The sensations may also be felt on the back of the calf or on the sole of the foot. The affected leg may feel weak.

  The pain often starts slowly. Sciatica pain may get worse:

  After standing or sitting
  At night
  When sneezing, coughing, or laughing
  When bending backwards or walking more than a few yards, especially if caused by spinal stenosis

  Exams and Tests

  Sciatica might be revealed by a neuromuscular examination of the legs by a physician. There may be weakness of knee bending or foot movement, or difficulty bending the foot inward or down. Reflexes may be abnormal, with weak or absent ankle-jerk reflex. Pain down the leg can be reproduced by lifting the leg straight up off the examining table.

  Tests are guided by the suspected cause of the dysfunction, as suggested by the history, symptoms, and pattern of symptom development. They may include various blood tests, x-rays, MRIs, or other tests and procedures.

  Treatment

  Because sciatica is a symptom of another medical condition, the underlying cause should be identified and treated.

  In some cases, no treatment is required and recovery occurs on its own.

  Conservative treatment is best in many cases. Your doctor may recommend the following steps to calm your symptoms and reduce inflammation.

  Apply heat or ice to the painful area. Try ice for the first 48 - 72 hours, then use heat after that.
  Take over-the-counter pain relievers such as ibuprofen (Advil, Motrin IB) or acetaminophen (Tylenol).
  While sleeping, try lying in a curled-up, fetal position with a pillow between your legs. If you usually sleep on your back, place a pillow or rolled towel under your knees to relieve pressure.
  If at-home measures do not help, your doctor may recommend injections to reduce inflammation around the nerve. Other medicines may be prescribed to help reduce the stabbing pains associated with sciatica.

  Physical therapy exercises may also be recommended. Additional treatments depend on the condition that is causing the sciatica.

  Nerve pain is very difficult to treat. If you have ongoing problems with pain, you may want to see a neurologist or a pain specialist to ensure that you have access to the widest range of treatment options.

  source

  Get well soon
  Qadhi
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mzizi Mkavu.
  unavaa high heels? au chanzo cha matatizo kilikuwa nini?
  pole sana naamini ushauri unaoupata hapa utakuwa ni muktadha kwako na utapata suluhisho
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Sivai high heels Mkuu mimi kwanza ni Mwanamme Umri wangu ni Miaka 46 nilipatwa kama na Upepo Mbaya nilikuwa nimelala sitting room. Nikawa nimeacha Madirisha wazi nyumba yote kwa ajili ya joto basi Upepo mbaya wa alafajiri ukanipata kuamka nikawa najisikia maumivu kwenye mgongo,baada ya muda yakaenea mpaka chini. Kuanzia Kiuno mpaka chini najisikia kuumwa hayo ndio mwanzo wa maradhi yangu. Nakaenda kupiga XRAY huku niliko nje ya nchi Ughaibuni wakaniambia nina matatizo kwenye Disk yangu katika makalio yangu kwa upande wa kushoto nikatumia dawa nikapona. Ilikuwa mwaka 2004 sasa yamenirudia tena kama mwaka 2004 nikikaa mahali pamoja muda mrefu huwa nasikia maumivu, yanayotoka kwenye hiyo diski iliyopo kwenye makalio yangu ya upande wa kushoto wa kiuno yananiuma sana mpaka nitoke kwenye kiti nizunguke zunguke ndio yanapowa hayo maumivu yangu. nimejaribu kutumia Dawa za kutowa Maumivu kwa lugha ya kizungu inaitwa Pain killer jina lake ni (Fort APRANAX) lakini bado maumivu yanakwenda na kurudi. Ndio maana nikataka ushauri wenu Asanteni kwa ushauri wenu.
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Hivi High Heels zinaleta Uti wa mgongo Gosh!
   
 13. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MziziMkavu
  The best way ni kumuona specialist
  Matatizo kwenye disk,huenda ikawa:Disk degeneration,disk herniation ambayo inapelekea spinal canal stenosis and hence nerve compression(if it's sciatic nerve then may lead to sciatica) etc.

  Kwangu binafsi,nashindwa ku lay out diagnostic guidelines and hence concrete advice apart frm just go to consult a specialist.
   
 14. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kuongea na wenye matatizo kama yakwako na wengi wanasema wamesaidiwa sana na Acupunture.
   
 15. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  VIBAYA MNO FL
  Wazungu nimewaona wanaviwekakaga ofisini ndani, walikotoka wanavaa raba,.wakiingia ndani wanabadilisha.kwa wale wengine huweka ndai ya pochi,.kama ukimwona mama kavaa High heel akitokea nyumbani bassi ni teksi tu au ana mkebe nje
   
 16. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Pole sana Mzizi Mkavu zingatia Ushauri unaopewa na piwa mtangulize Mungu utapona tu.
   
Loading...