Wakuu nataka Nijazie Fasta Kuanzia Kigimbi, Six packs na Mikono Supplement gani nzuri?

Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja mdada Fulani wa Jamii Forums alifaidi kwa Yale mabaki ya Mkanda aliweza Kutengeneza Mkufu na Hereni nzuri za Silver.

Je food supliment gani Nizitumie ili nipate mafanikio?

Vipi Bei zake?
Side effects?

Wewe Unanishaurije? hata kama nimeamua Kutumia Nitaheshimu Mawazo ya Watu wengine pia juu ya Faida na Hasara za Supplements!
Kwanza pole sana, kwa minyoo sugu!! si unaona nilivo jazia hapo juu!! ajili ya kukimbia sasa weye unaacha? fanya hivi;

Meza dawa za Minyoo, dose tatu kwa mda wa week tatu! achana na chips mayai! baada ya hapo gonga kiti moto roast, nguna /,ndizimshale guiness ze power! wastani wa kilo mbili kila baada ya siku moja nzuri iko paleeee Migombani kisukuru kwa Mangi,

karibu na Police post, au msimbazi centre, mbona utajikimbia! kila upitapo watu jicho hilo! jamani njooni muone Baunsa yulee!! utajulikana sana! na utajaribiwa bure sana, mie mwenzako nina pesa naonekana kwa nadra sana,

kaka jambazi akiniotea anajinyea kwanza, ''shikamoo kaka, tusamehe kaka tulikuwa tunapitakaka tuuuu!'' mke wangu ndo haguswi kabisaaa, km anaguswa basi kwa siri sana, lkn pia mie ni mchawi!
 
Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja mdada Fulani wa Jamii Forums alifaidi kwa Yale mabaki ya Mkanda aliweza Kutengeneza Mkufu na Hereni nzuri za Silver.

Je food supliment gani Nizitumie ili nipate mafanikio?

Vipi Bei zake?
Side effects?

Wewe Unanishaurije? hata kama nimeamua Kutumia Nitaheshimu Mawazo ya Watu wengine pia juu ya Faida na Hasara za Supplements!
Mathayo 6:33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Mathayo 6:34 Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.
 
Back
Top Bottom