LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,977 Reaction score 37,879 Jul 18, 2018 #1 Natafuta miche 20 ya mwashoki..Nitaipata wapi na kwa bei gani kwa mche ..Nimejaribu kuchek pale mcity na Sayansi sijafanikiwa kuipata..In addition to that natafuta pia maua aina ya Jasmine..With much thanx in advance
Natafuta miche 20 ya mwashoki..Nitaipata wapi na kwa bei gani kwa mche ..Nimejaribu kuchek pale mcity na Sayansi sijafanikiwa kuipata..In addition to that natafuta pia maua aina ya Jasmine..With much thanx in advance
Traviana Tray JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 546 Reaction score 457 Jul 18, 2018 #2 jaribu kawe mwisho kabisa natumiani utapata.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,977 Reaction score 37,879 Jul 18, 2018 Thread starter #3 Okay thanx wanauzaje mche?
Traviana Tray JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 546 Reaction score 457 Jul 18, 2018 #4 LIKUD said: Okay thanx wanauzaje mche? Click to expand... mi sijuy kwa sasa ila mwaka Jana nilinunua 1@2,500
LIKUD said: Okay thanx wanauzaje mche? Click to expand... mi sijuy kwa sasa ila mwaka Jana nilinunua 1@2,500
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,977 Jul 18, 2018 #5 Mwashoki?nikajua ndugu zangu wa Tukuyu na Kyela.Ashok mkuu.Hyo miti ni ya kuitafuta kweli dar hii?hata pale Mapambano kwenda Afrikasana ipo kibaaoo
Mwashoki?nikajua ndugu zangu wa Tukuyu na Kyela.Ashok mkuu.Hyo miti ni ya kuitafuta kweli dar hii?hata pale Mapambano kwenda Afrikasana ipo kibaaoo
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Jul 18, 2018 #6 bukoba boy said: Mwashoki?nikajua ndugu zangu wa Tukuyu na Kyela.Ashok mkuu.Hyo miti ni ya kuitafuta kweli dar hii?hata pale Mapambano kwenda Afrikasana ipo kibaaoo Click to expand... Kwa mwanza ni bei chee kabisa
bukoba boy said: Mwashoki?nikajua ndugu zangu wa Tukuyu na Kyela.Ashok mkuu.Hyo miti ni ya kuitafuta kweli dar hii?hata pale Mapambano kwenda Afrikasana ipo kibaaoo Click to expand... Kwa mwanza ni bei chee kabisa