Wakuu natafuta chumba na sebule Tanga mjini,

Wakuu natafuta chumba na sebule Tanga mjini,

Utakapohitaji kiwanja nitafute nikuuzie kiwanja kilichopimwa cha 1500 square metres for 12.5m only. Kipo 10 km from city Center

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kiwanja kipo Kange,Pongwe nk na kina ukubwa huo.
Huwezi uza kwa bei hiyo hata kama kina hati toka kwa Lukuvi.
Sikukatishi tamaa ila nakueleza uhalisia.
 
Back
Top Bottom