Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 335
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa ushauri mkuu. Ila kuachana nae kwangu ni changamoto kidogo si unajua tena kupenda kulivyoAchana nae anaonekana bado ana utoto mwingi tafuta mwingine utajipa presha tu ushindwe kufanya Mambo ya msingi.
Kwanza polee...
Ila mkuu hao ma ex zako tangu mmeachana ni mda,sasa inakuaje useme hujafuta sms zao WhatsApp? Hivi inawezekanaje kukaa na masms ya ex zako? Hapa kuna kitu umetuficha na wahuni tushajua
Pili, huyo bibie kama unataka kumuoa basi ukubali tu mapungufu yake otherwise utaona ana kukera...Wivu ukizidi kila siku mtagombana
Mwisho mwache uyo bibie hata wiki moja au mbili zipite apoe hasira zake...ni ngumu kutaka akusikilize saiz na wakati umesha mtibua na ukizingatia ana kisirani sana uyo mwananke..mpe muda apoee kisha nenda kwake mkayamalize..
Akigoma,achana nae mkuu,hawa viumbe pasua kichwa...Kama hakupendi tena ,mwambie wanao bado Tunakupenda..
Yan hizo ni indicators za kukuonesha kua hakutaki na alikua anatafta sababu kwako kisa tu ameshajua unampenda vibaya baya
Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni, ni hivi hebu fanya mambo yako inauma lakini ona kama Mungu anakuepusha na kikombe kisicho chako mkuu, wewe kaa kimya usimtafte huko kuhangaika kwako ndio mana unaumia bure waswahili wana msemo wao ukiachwa achika huna namna, hujamuoa hali ni hiyo ukimuoa itakuaje?
Wote watoto.
Unaonekana kwenye game la mapenzi bado underground..mabaharia hua hatujitosi mazima kwenye mapenzi..mana mwisho wa mapenzi ya dhati na maumivu na chuki...kimsingi hutakiwi kupenda mademu wa kibongo..pia kosa kubwa kuwa na demu mmoja..eti kisa mapenzi ya dhati...
Asante sanaPole Sana.
Kwanza polee...
Ila mkuu hao ma ex zako tangu mmeachana ni mda,sasa inakuaje useme hujafuta sms zao WhatsApp? Hivi inawezekanaje kukaa na masms ya ex zako? Hapa kuna kitu umetuficha na wahuni tushajua
Pili, huyo bibie kama unataka kumuoa basi ukubali tu mapungufu yake otherwise utaona ana kukera...Wivu ukizidi kila siku mtagombana
Mwisho mwache uyo bibie hata wiki moja au mbili zipite apoe hasira zake...ni ngumu kutaka akusikilize saiz na wakati umesha mtibua na ukizingatia ana kisirani sana uyo mwananke..mpe muda apoee kisha nenda kwake mkayamalize..
Akigoma,achana nae mkuu,hawa viumbe pasua kichwa...Kama hakupendi tena ,mwambie wanao bado Tunakupenda..
Sijakuelewa mkuu. Unaweza nielezea kidogo ?Wee ulishabugi kwa kumpenda huyo mwanamke...ushauri wa bure...mwanamme hapendwi!!!
ndio mwanamke wako wa kwanza?? Au ndio mara yako ya kwanza kuachana mkuu?Asante kwa kunishauri. Japo kuna changamoto kidogo kumuacha
Kumpenda mwanamke ni jambo ambalo linatokea bila wewe kujijua wakati mwingine.Umeongea ukweli kabisa. Yaani full experience hapo. Hongera kwa kutambua kuwa mwanamke hapendwi
Ulishakula tunda lake ? Isijekuwa maumivu yanachangiwa na hiloNdugu yangu nahisi hujawai kupenda
Stori za kitoto.
Asante kwa kunishauri. Nimejaribu kukaa kimya wiki moja sasa.Umeshaona tabia zake then unataka kumuoa r u serious dude kosea kujenga sio kuoa Cha kufanya hapo kula bati do ur thing mpaka ashangae kwann umtafuti ye SI ana wivu ukikaa kimya ndo ataona umepata mwingine kabisa mwisho wa siku atakutafuta mwenyewe
Sawa. Nishauri cha kufanya mkuuMmekutana wote watoto