Acha uchoyo mwanetuWageni wanini tena maisha haya
😂😂Wageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chake
Sio uchoyo maisha magumu unaanzaje kuzurura Kwa watu Kaa kwako subiri kifo
Kuna gesthouse mkuu siku hizi hamnaga kulala kwa mtuChumba kimoja? Wageni tutalala wapi 🥹
🤣🤣🔥Wageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chake
Watoto wanalala sebuleni nikijipata nawajengea kama hii yangu Ili wakikua niipangishe sitaki hasara Mimi ya kujaza mavyumba mengi tupuWageni tumekubali tutabaki makwetu. Vipi we huna mpango wa kupata watoto? Watalala kwenye veranda au? 😂🤭
Anae roho mbaya uyu mwambaChumba kimoja? Wageni tutalala wapi 🥹