Wakuu naomba kufahamishwa

kideko

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
296
217
Eti kwa mwanamke ambae siku zake ni abdormal , yani anaingia period baada ya miezi miwili . Je siku zake za hatari zinahesabiwaje! Ni siku ipi ambayo anaeza pata ujauzito!! Natakuliza shukrani.
 
Kwa kuwa ni abnormal huwezi kuhesabu lazima utakosea. Utahesabuje sasa kitu ambacho hakieleweki?? Azingatie tu ni kwanini siku hazieleweki kama mawazo, lishe na mazingira. Zikirudi normal endelea na kazi.:eek:
 
Cycle kutokua regular jua kuna tatizo ni ngumu kujua ovulation inatokea lini

Aende hospital
 
Kwa kuwa ni abnormal huwezi kuhesabu lazima utakosea. Utahesabuje sasa kitu ambacho hakieleweki?? Azingatie tu ni kwanini siku hazieleweki kama mawazo, lishe na mazingira. Zikirudi normal endelea na kazi.:eek:
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom