Kamanda dr phone sijui kama nimeelewa swali lako
Kua kitu kinaitwa Remote desktop Connection (RDC) au Terminal Service Clinet katika windows. Wahusika wote wakiwa na Internet basi mmoja anaweza ku acess latop au PC ya mwenzake kama vile ni yake kabisa. Kuna application nyingine inatwa Citrix.
But nadhani hizi zote zinahitaji bandwidth iliyoshiba . Ngoja nisome some kwenye net nikumbushe. Nimetumia RDC zamani sana