Wakuu msaada windows orginal!

mzee wandimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
470
Reaction score
232
Wakuu samahani naombeni msaada waharaka computer yangu naambiwa window nayotumia siyo orginal! sasa nifanyeje? ninayotumia sasa ni windows 7 proffessional! ila wakati nanunua machine CD yake ilikuwa windows7 starter! napenda windows7 proffessional wapi naweza pata orginal?
 
as long as kazi zako zinafanyika vizuri, ignore hiyo recommendation.
 
as long as kazi zako zinafanyika vizuri, ignore hiyo recommendation.

mkuu zinafanyika lakini nimeambiwa baada ya muda LCD yote itageuka kuwa nyeus na sintaweza kufanya chochote! pia natumia antivirus hii< microsoft security essencials
 

Ok mkuu download hii loader;



Download it hapa View attachment windows7loader_by_e2themiza.rar

Then extract it.. sasa fungua iyo file ya loader by rite clickn it and run as administrator then click install.. utaona ghafla imeclose.. dont worry it

works on the background then utaona message kuwa its done na unahitajika ku restart computer.. restart it and hopefully if everthing goes rite

ikiwaka haitaleta tena message ya kukuambia kuwa sio original and plus u can update also to prove kama it works.. click start then type slui.exe

then click enter itafunguka and it its activated it will say so.. GUDLUCK
 
asante mkuu ngoja nijaribu ntarudi!
 
mkuu nimejaribu imeniomba password! hapo ndonikaishiwa ujajna! msaada tafadhali! ila samahani kwausumbufu!
 
nenda torrent utazipata zipo nyingi tu na ni free tafuta cracked win 7, then unstall hiyo na kuinstall mpya ukiona wamekupa option ya key we click next mzigo unadunda kama kawa
 
nenda torrent utazipata zipo nyingi tu na ni free tafuta cracked win 7, then unstall hiyo na kuinstall mpya ukiona wamekupa option ya key we click next mzigo unadunda kama kawa
acha nijaribu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…