Pole sana mkuu kwa yote yanayokukuta. Kuna baadhi ya mambo nataka kuyajua,
1. Je, mlifunga ndoa? ya kikristu au ya kiislamu,
2. Mahusiano yenu ya kidini yakoje? au wewe dini gani na yeye dini gani?
3. Wazazi wa pande zote mbili wanayajua haya? Bila shaka wanayajua, Je na wao wanasemaje?