Mkuu ni hivi nataka kutumia tecno kama source ya internet connnection kwa pc au kwa maana nyingine badala ya kutumia modem kwenye pc kwa ajili ya internet, nataka nitumie tecno.
Ambapo kuna kitu kinaitwa tethering and portable hotspot ktk tecno ambayo inawezesha utendaji wa hiyo kaz nayokusudia.
Tatizo langu ni kwamba tecno yangu ndio inasumbua kuconnect, lakini nikijaribu tecno zingine inapiga fresh.
Sijui umenipata japo kidogo mkuu?