Wakuu msaada kufungua websitd kutumia dreamweavercs5

Wakuu msaada kufungua websitd kutumia dreamweavercs5

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
322
Wakuu naombeni msaada kodi najua kuzichapa tatizo ni kupata domain'na server halafu shida nyingine nahitaji kuongeza page nyingi but nashindwa
 
Example 1.jpg
Bonyeza open (Iliyo mkono wa kulia)


Example 2.JPG
Angalia page unayotaka kufanyia kazi kutoka kwenye folder la site yako au kwenye server ifungue. Mie natumia computer yangu kama server na nikisha pamaliza kufanya kazi napandisha pages zilizofanyiwa matengenezo kwa kutumia FTP

Example 3.JPG
Woow ingia kazini
 
Back
Top Bottom