Itadumu mkuu weka maoni usiwe na hofuHii picha haiwezi kudumu hapa.
Huwez kuikomboa nchi ukiwa na vijana wanaopenda pombe na ngono~Chegu evaraMtasema mpaka mtakufa umasikin wen hautabadilika mimi nimegundua watanzania wana chuki na kila kitu, cos hawajui cha kufanya.. Zaidi ya kua spoon fed,... Yaan wanalaumu kila kitu, kumbe hawajui wao ndo matatizo,
Hizo ni dalili za kujitambua, zinduka na wewe....Kwan ni wapi hapastahili lawama ??Mtasema mpaka mtakufa umasikin wen hautabadilika mimi nimegundua watanzania wana chuki na kila kitu, cos hawajui cha kufanya.. Zaidi ya kua spoon fed,... Yaan wanalaumu kila kitu, kumbe hawajui wao ndo matatizo,
Ukiona unalaumu sana ujue tatizo liko kwako,..Hizo ni dalili za kujitambua, zinduka na wewe....Kwan ni wapi hapastahili lawama ??