Wakuu mitaa ya kujidai Dodoma

Wakuu mitaa ya kujidai Dodoma

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habali za masiku wakuu,
Nipo kikazi hapa makao Makuu ya Nchi, kiukweli huu mji siuelewi kabisa.

Em tuambiane viwanja tulivu vya kutulia na kawaini kako siku za wekend.

Tchaooooo
 
Back
Top Bottom