Wakuu kwema?

Wakuu kwema?

Ni 2.4 sio 2.5 L
Hiyo 2.4 walitumia ya Ford ndio maana wanaiogopa na 2.2 ina DPF
Ningekua mimi ningeangalia vigezo vingine maana zote nzuri kama viko sawa ningeenda na 2.4
 
Pita na 2.2L sababu injini ya 2.4L ilikuwa na matatizo ya oil pump na vacuum pump ambayo yalisababisha injini nyingi kufa mapema, kwahyo kwenye 2.2L walirekebisha mapungufu hayo
 
Asante saba hi
Ni 2.4 sio 2.5 L
Hiyo 2.4 walitumia ya Ford ndio maana wanaiogopa na 2.2 ina DPF
Ningekua mimi ningeangalia vigezo vingine maana zote nzuri kama viko sawa ningeenda na 2.4
Sahihi ni 2.4l ila wanadai inasumbua sana compare na 2.2l DPF sio isue sana nitakuwa natembea masafa
 
Back
Top Bottom