Goli moja
Kondomu moja
Huo ndio utaratibu
Swali: Je, ulikuwa ukiufuata huo utaratibu?
Kondomu si vema kuhifadhiwa kwenye mfuko wa suruali
Huo ndio utaratibu
Swali: Je, ulizingatia hilo?
Kondomu kabla ya kuifungua, minya minya kuhakiki kuteleza kwake mle ndani. Kiashiria cha uwepo wa mafuta. Usipoona hivyo, haifai kwa matumizi.
Huo ndio utaratibu
Swali: unazingatia
Kondomu huvaliwa uume ukiwa umeshasimama lakini pia huyo unayeshiriki naye ngono, hakikisha umemuandaa na ameandalika vema. Uke wake utoe ute wa kuruhusu tendo kufanyika pasipo msuguano mkali. Usiwe na pupa kama unatumia kondomu.
Huo ndio utaratibu
Swali: Je, unazingatia
Kondomu haivaliwi kwenye uume uliotiwa viungo (vumbi la Kongo na vitu vya kufanana na hivyo). Zingatia lishe nzuri na mazoezi ili kuimarisha uwezo wa uume wako kupiga mzigo. Hata hivyo si vema kwenda kwa zaidi ya dakika 13 (hapo nitapingwa balaa).
Huo ndio utaratibu
Swali:Je unazingatia hilo?
Kondomu staili yake pendwa ya ngono ni missionary a.k.a gwaji boy style. Usilete ufundi mwingi wa staili za ngono ukiwa na kondomu. Brand nyingi hazina uvumilivu wa maufundi yetu ( najua nitapingwa sana ila ndio hivyo)
Huo ndio utaratibu.
Kila la heri