Nimekutana na msichana flani hvi jana,tukabadlishana namba zetu za simu!cha kushangaza eti leo ananitumia tafadhali niongezee salio..ni halali kweli ukzngatia hata cjatupa nyavu bado?[/QUO
Kwani unataka Ndoa? Dogo usipende vya bure, Lipia vaucher mmbandue usepe...Demu keshakusoma wewe unataka kumpotezea muda tuu umdanganye. Sawa?