Wakuu hekima inatakiwa kuokoa ndoa

kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
56
Wakubwa zenu heshima ni muda mrefu sikuwepo jamvini naleoo hii nimerudi. na mshukuru mungu kwa kuwapa afia njema na amani na nawapa pole wote waliopatwa na udhuru za hali yoyote mungu ata wajalia

Huko nilipokuwa nimekutana na mwenzangu ana tatizo anahitaji msaada wandugu huyu jamaa kaowa mkewe anaigiza filam za kibongo ni msichana mdogo ndo anachipkia. tatizo jamaa hataki aendelee na hiyo kazi na mtoto kakubali lakini anendelea kisiri tayri filam mbili kaisha fanya kisiri jamaa kagundua na anashaka kuwa kuna ingine ina fanywa kisiri inamsumbua sana kampa mtaji lakini bado anapenda kuuza sura.
jamaa ameahidi kuwa kama atacheza filam ingine anapiga chini ushauri wandugu
 
Kwani alipomuoa hakujua mwenzake anapenda kua kwenye DVD cover?
 
Ni kweli kabisa kuwa ulipoanza relation naye ulimkuta kwenye movie industry,pengine ndio dream job yake na ameihangaikia muda mrefu kuhakikisha inaingia huko.Sasa wewe ulitakiwa ukubali kuwa hiyo ndio ajira ya mkeo na ukubali mazingira.Hayo yanayotokea sasa uliyatengeneza mwenyewe kwani LEO imeandaliwa JANA.
 
Ukipenda boga penda na ua lake, kama alimkuta na kazi yake hiyohiyo ya nini kumuachisha?
 
Jamaa huyo anaishi nje anadai alipokutananae alimficha hakumueleza ukweli kuwa ni muigizaji na kwakuwa alikuwa hajapata umarufu hakuweza pata habari. baada ya kufunga pingu ndo akajua kuwa mwenziwake ni nyota chipkizi akmuweka chini nakuongea nae wakakubaliana aache lakini mwenzake huwa anafanya kisiri na imemuuma zaidi kaona filam kacheza kama kaolewa na katika mchezo ikaonekana wanatimiza ndoa yao kama wanandoa jamaa kuona vile anahisi kama kweli jamaa alikuwa anamega siunajua tena wabongo skuhizi wacheza kama ulaya
Haya sijui Lizzy unamshauri nini
Kwani alipomuoa hakujua mwenzake anapenda kua kwenye DVD cover?
 
Huo sio ushauri Aisha jamaa uwezo anao kila anachotaka mke anapewa alipo muoa tu akampa usafiri na mtaji na baada ymuda mfupi akaongeza gari lingine na jamaa yupo makini na alikuwa nampango wakuazisha ujenzi wa nyumba yaoo huyo kauza sura lakini alikuwa bado anasafiri kasimama sasahivi anikebe miwili na kila mwezi ankunja kwanja makini sanaa navyo kwambia kwakuwa nafaham sio chini $2500 kila mwezi hanashida mpaka imfane ahangaike na kuuza sura. kinasho mkera jamaa hatamalipo anayopewa huko kidogo sanaa
Ukipenda boga penda na ua lake, kama alimkuta na kazi yake hiyohiyo ya nini kumuachisha?
 
Hiyo ni kazi kama kazi nyingine tu, na dada ukiacha kazi yako ni kivyako, wanaume hawaaminiki, any time any day atakupiga chini.:shut-mouth:
 
Huo sio ushauri Aisha jamaa uwezo anao kila anachotaka mke anapewa alipo muoa tu akampa usafiri na mtaji na baada ymuda mfupi akaongeza gari lingine na jamaa yupo makini na alikuwa nampango wakuazisha ujenzi wa nyumba yaoo huyo kauza sura lakini alikuwa bado anasafiri kasimama sasahivi anikebe miwili na kila mwezi ankunja kwanja makini sanaa navyo kwambia kwakuwa nafaham sio chini $2500 kila mwezi hanashida mpaka imfane ahangaike na kuuza sura. kinasho mkera jamaa hatamalipo anayopewa huko kidogo sanaa

Kunguru hafugiki lol!
 
Hii inaonyesha hakuchukua muda kumfahamu..kumchunguza na kuuliza wanaofahamu anaetaka kumfanya mkewe ni mtu wa aina gani.Na nnashangaa iweje huyo dada amfiche kitu ambacho sio dhambi kufanya...nazidi kuamini kwamba MAWASILIANO kwao ni zero kabisa...si ajabu hata birthday zao hawajajulishana.

Nwy ushauri nnaoweza kumpa ni kumkalisha mkewe chini amweleze kwanini hapendi awe muuza sura pia amuulize dada kwanini anapenda hiyo kazi!Wakishapeana hayo majibu waweke matakwa yao kwenye mizani na kufikia muafaka...inabidi mmoja akubali kushindwa.Alafu mwamhie huyo rafiki yako kama hana sababu ya msingi kumkataza na dada hafanyi chochote kibaya amuache afanye hicho apendacho.Ubinafsi sio ishu kabisa...na ajue kwamba biashara na pesa sio kila kitu!!!
 
wangapi wameachishwa kazi bana..tena wengine kazi za ukweli! Tatizo hawakukubaliana mwanzo..issue ni kuelewana!
 
Lizzy yote huwa nasopoti sana maoni yako na pia nakkubali lakini kwahili sipo nawewe. tena hapo jaribu kufkiri kama wewe uolewe na halafu uwe unatizama ile filam alocheza na iren kambidua kwenye 6kwa6 na pembeni yako kuna beki3 na vdogo vyako ulivyo mkali wewe unaweza kuhama mji. wevu ni maumbile ya kila kiumbe dada angu na kama mwenziwako hakuonei wivu ujue hana mapenzi

Hata mimi nakubaliana na wewe ila hiyo mipaka walitakiwa wawekeane kabla ya ndoa na sio baada!!
 
Hiyo ni kazi kama kazi zingine. Amwache mwenzie akitumie kipaji chake huku akimsisitizia kujilinda na kujiheshimu.
 
Hapo umenena Lizzy nikweli kabisa hata hivyo mwanaume anaharaka sana ni mapema kwa mwanamke kumuamini mtu anae ishi ughaibuni kwa muda mfupi matukio mengi yametokea kwa wanaoolewa na vijana aina hii huterekezwa inawezekana huyo binti hajamuamini mwenzake. na kingine na zani hawa wasichana huko kwenye makutano yao huwa washauriana vibaya hajapata ushauri mzuri.siku moja niliwahi kumskia binti akishawishi mwenzake wamfate jamaa alikuwa anawaita yule mwenzake akamwambia mimi ni mke wa mtu sasahivi siwezi mshawishi alimjibu mkewamtu bongo hebu funguka akili mshambawewe.
Hata mimi nakubaliana na wewe ila hiyo mipaka walitakiwa wawekeane kabla ya ndoa na sio baada!!
 
Huo sio ushauri Aisha jamaa uwezo anao kila anachotaka mke anapewa alipo muoa tu akampa usafiri na mtaji na baada ymuda mfupi akaongeza gari lingine na jamaa yupo makini na alikuwa nampango wakuazisha ujenzi wa nyumba yaoo huyo kauza sura lakini alikuwa bado anasafiri kasimama sasahivi anikebe miwili na kila mwezi ankunja kwanja makini sanaa navyo kwambia kwakuwa nafaham sio chini $2500 kila mwezi hanashida mpaka imfane ahangaike na kuuza sura. kinasho mkera jamaa hatamalipo anayopewa huko kidogo sanaa

Pesa na magari huwa vipo na vinatafutwa ninachoomba usimulaumu huyo dada lbd yeye anaona bila hizo hajisikii raha
 
Back
Top Bottom